26 Apr, 2022
58TH ANNIVERSARY OF THE UNION OF TANGANYIKA AND ZANZIBAR
Menejimenti na Watumishi wa Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC), tunamtakia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani na Raisi wa Zanzibar Mhe. Hussein Ally Mwinyi pamoja na watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

