11 Nov, 2021 08:30am - 2:00pm MISRI
The President witness the signing of one contract and seven agreements between Tanzania and Egypt
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji saini Hati za makubaliano katika Nyanja ya kukuza Uwekezaji kati ya Tanzania na Misri iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini Dkt. Maduhu Kazi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Biashara Huria nchini Misri Dkt. Mohammed Abdul-Wahabi leo tarehe 11 Novemba 2021 Jijini Cairo Misri. Mhe Rais Samia yupo Nchini Misri akiendelea na ziara yake ya siku ya pili ya Kiserikali kufuatia mwaliko wa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi

