Mabadiliko ya Vituo vya Mabasi (Daladala)
11 May, 2022

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), inatoa taarifa kwa wamiliki, watoa huduma za daladala na umma kuwa, kuanzia tarehe 4 Februari,2022 kutakuwa na mabadiliko ya vituo na njia kwa daladala zote zilizokuwa zinatumia kituo cha Kariakoo sokoni.

Kwa taarifa zaidi bofya hapa

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo