Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ( wa nne kulia) akipokea maelezo ya utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bwala la Kidunda kutoka kwa Msimamizi wa mradi wa Kidunda Mhandisi Christian Christopher wakati alipotembelea eneo la mradi wa ujenzi wa bwawa la kuhifadhi maji la Kidunda Kata ya Mkulazi , Wilaya ya Morogoro vijijini.