Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Ndugu Kiula Kingu akikabidhi bendera ya Mamlaka kwa wachezaji wa timu ya soka ya DAWASA ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wao kuelekea michuano ya Maji Cup yatakayoanza visiwani Zanzibar Julai 22, 2023.