Balozi wa China nchini Bi Chen Mingjian (wa kwanza kulia) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Ndugu Kiula Kingu
Balozi wa China nchini Bi Chen Mingjian (wa kwanza kulia) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Ndugu Kiula Kingu kuhusu hali ya utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu kwa eneo la upanuzi wa mtambo wa kuzalisha maji wa Wami ambao ulijengwa kwa msaada wa Serikali ya China kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania. Balozi wa China alikuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Chalinze awamu ya tatu.